Maisha ni kugharimia

Maisha ni kugharimia

Mathias E. Mnyampala
你有多喜歡這本書?
文件的質量如何?
下載本書進行質量評估
下載文件的質量如何?
Mathias E. Mnyampala (1917-1969) is a famous Tanzanian writer and poet who wrote in Kiswahili. This book is the first edition of the unpublished manuscript of his autobiography discovered in 2007 in Dodoma (Tanzania) by Dr. Mathieu Roy.  
This full edition contains some pictures from the original autobiographical manuscript and other documents from Mathias E. Mnyampala's archives.
Mswada huu ambapo marehemu Mathias E. Mnyampala anatusimulia habari za maisha yake binafsi ulibaki muda mrefu sana uliozidi miaka arobaini bila kupigwa chapa. Uligunduliwa mwaka 2007 mjini Dodoma na Dkt. Mathieu Roy kwa kushirikiana na TUKI (TATAKI sasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) na mwana wa mwandishi Bwana Charles M. Mnyampala aliyehifadhi mswada huo ukiwa kwenye hali ya nyaraka kwa muda mrefu na kupata kuhaririwa mwaka 2013 na Dkt. Mathieu Roy. Kwa mara ya kwanza, toleo hili kutoka shirika la DL2A – Buluu Publishing (Ufaransa) linawapa wasomaji watukufu na wapenzi wa Kiswahili nafasi ya pekee ya kugundua maisha ya mzungupule huyo wa Kiswahili na fasihi yake.
Toleo hilo kamili linaonyesha picha kutoka mswada wa asili wa maisha ya mwandishi pamoja na picha nyingine kutoka kanzi ya nyaraka za Mathias E. Mnyampala.
年:
2013
出版商:
DL2A - BULUU PUBLISHING
語言:
swahili
頁數:
113
ISBN 10:
1092789022
ISBN 13:
9791092789027
文件:
PDF, 12.68 MB
IPFS:
CID , CID Blake2b
swahili, 2013
線上閱讀
轉換進行中
轉換為 失敗

最常見的術語